MWANAMAMA anaye-host show ya television The Wendy Williams show amebebeshwa tuhuma nzito kutoka kwa watu kuwa alizaliwa mwanaume na akajibadili jinsia na kuwa mwanamke!
Mwanamama huyo ambaye leo (July 18) anatimiza miaka 50 amefungukia ishu hiyo alipokuwa aki-promote show yake mpya ya vichekesho 'Lipshtik' huko Las Vegas na hiki ndicho alichosema:
“Watu bado wanadhani kuwa nilizaliwa mwanaume..hilo sio kweli kabisa.
0 comments:
Post a Comment