Rihanna anazidi kutoa kali linapokuja swala la mavazi ambapo safari hii atinga nguo ya kulalia (night dress) na raba na kukatiza kitaani bila wasiwasi!
Jionee mwenyewe..
Tuite fashion ama nini? msiige sasa na hii! Lol! |
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
Tuite fashion ama nini? msiige sasa na hii! Lol! |
0 comments:
Post a Comment