Friday, July 18, 2014

RAIS KIKWETE NA MKEWE WAKATIZA MITAA KUELEKEA SOKONI KUNUNUA BIDHAA!

Video  hapo chini inamuonyesha Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakikatiza mitaa ya Pangani Tanga kuelekea sokoni kununua samaki aina ya ng'onda!
Itazame hapa chini..

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI