Friday, June 6, 2014

WAREMBO WANAOWANIA TAJI LA MISS ARUSHA 2014 WATEMBELEA HOSPITALI YA MARIA STOPES JIJINI HUMO

Baadhi ya Warembo wanaowania taji ya Ulimbwende la Jiji la Arusha,wakimsikiliza kwa makini Dr,Sober Mzighani wa Hospitali ya Maria Stopes ya jijini humo wakati wakipatia mafunzo mbali mbali yahusuyo maswala ya afya ya Binadamu.Hii ni sehemu ya maandalizi ya Onyesho hilo la Urembo ambalo linataraji kufanyika hivi karibuni.
Warembo wanaowania taji ya Ulimbwende la Jiji la Arusha wakiwa katika picha ya pamoja.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI