Tuesday, June 17, 2014

NI SHIDAAAH!!! ASHUDIA KOMBE LA DUNIA AKIWA UCHI

HUKU England ikihitaji ushindi katika mechi dhidi ya Uruguay Alhamisi kufufua matumaini ya kusonga mbele Raundi ya Pili ya Kombe la Dunia, vishawishi vimeanza kuivamia kambi yao.
Mwanamke mmoja alinaswa akiwa 'uchi wa mnyama' nje ya chumba kwenye hoteli ya Royal Tulip, ambayo England wameweka kambi.  
Lakini hilo lilitokea wakati wachezaji wa England wamekwenda mazoezini milim a ya Sugarloaf mjini Rio de Janeiro.
Balaa gain hili: Mwanamke akiwa uchi kwenye hotel ambayo England wameweka kambi mjini Rio
Look out: The woman admires the view from the balcony at the Royal Tulip hotel
Mitego: Mwanamke akiangalia nje chini kutoka ghorofani katika hotel ya Royal Tulip
Sasa ndiyo anavaa akiwa nje
Wachezaji wa England, Raheem Sterling na Wayne Rooney wakiwa kwenye hotel yao Jumatatu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI