Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro, Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa vya uchimbaji madini hayo, ambavyo huviuza kwa wachimbaji wengine kwa gharama nafuu. Karia alipata fursa ya kuonyesha vifaa hivyo Kinana alipomtembelea kwenye eneo la machimbo la mchimbaji huyo mdogo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara, mapema wiki hii. Wapili kushoto ni Mbunge wa Simnanjiro, Christopher Ole Sendeka na anayerekebisha miwani ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Saturday, June 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS ...
-
Jackie Chan MTOTO wa muigizaji maarufu nchini China Jackie Chan, Jaycee Chan amekutwa na hatia na kufungwa miezi sita gerezani kwa kos...
-
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
-
WAKATI sakata la kuokotwa kwa viungo vya binadamu likiendelea kutikisa nchi, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHA...
-
Mama Salma Kikwete akimfarijiMama Mary Mbaga Makame, mke wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wila...
0 comments:
Post a Comment