Tuesday, June 17, 2014

KIM KARDASHIAN AHUDHURIA NA KINGUO KINACHOMUONESHA MTUPU KWENYE SHOW YA MUMEWE!

MKE wa Kanye West ambaye naye anahistoria ya kupiga picha katika mapozi kama haya, naye kwa sasa amepiga picha ambazo zinamuonyesha sehemu kubwa ya kifua chake na picha hiyo kuanza kusambaa kwenye mtandao.

Kanye West na Kim walikuwa kwenye show huko Tennessee ambapo Kim Kardashian alipiga picha yenye background watu walifika kwenye hiyo show.
TAFDHALI...
**Picha hii imezibwa kutokana na Maadili**

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI