Monday, June 16, 2014

FLAVIANA MATATA ANG'ARA KATIKA JARIDA LA MITINDO LA UFARANSA *MISS EBENE!!!* *PICHAZ*

TANZANIAN Supermodel Flaviana Matata amekuwa ni mwanamitindo aliyefanikiwa kupiga hatua zaidi katika masuala haya ya mitindo…
Mpya zaidi ni kuwa mwanadada huyu amepewa nafasi tena katika jarida la mitindo la Miss Ebene linalotoka mwezi june ambalo ni la Ufaransa.
Upende usipende mwanadada huyu anazidi kututambulisha Tanzania kimataifa kupitia kazi yake hiyo anayoifanya.
Mambo ya mwanadada huyu...
mimi mmmmmh!!!

Kuna chochote cha kusema zaidi?
Mwaga koment zako hapo chini basi!!!
Endelea kushine mama!
UNGANA NASI KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI