Sunday, June 15, 2014

LIONEL MESSI AIPAISHA ARGENTINA IKISHINDA 2-1 DHIDI YA BOSNIA KOMBE LA DUNIA

Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Argentina bao la pili. 
LIONEL Messi ameifungia Aregentina bao katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bosnia-Herzegovina.
Beki wa Bosnia, Sead Kolasinac alijifunga bao dakika ya tatu, na katika dakika ya 65, Messi alifunga bao la pili na la ushindi.
Bao la kusawazisha la Bosnia limefungwa na Vedad Ibisevic katika dakika ya 85.
Hapa chini ni vikosi vya mechi zote na viwango vya wachezaji. Alama zimetolewa chini ya 10.
Kikosi cha Argentina (3-5-2): Romero 6; Campagnaro 5 (Gago 45, 7.5), F Fernandez 6.5, Garay 6.5; Zabaleta 6, Maxi Rodriguez 4 (Higuain 45, 7), Mascherano 6.5, Di Maria 7, Rojo 6.5; Messi 7, Aguero 6 (Biglia 86). 
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Orion, Perez, Higuain, Augusto Fernandez, Demichelis, Palacio, Alvarez, Lavezzi, Basanta, Andujar.
Kadi ya njano: Rojo.
Mfungaji wa Goli: Kolasinac (alijifunga) 3, Messi 65.
Kikosi cha Bosnia-Herzegovina: (4-2-3-1): Begovic 6; Mujdza 6 (Ibisevic 70, 5), Bicakcic 6, Spahic 6.5, Kolasinac 6; Besic 7, Hajrovic 6 (Visca 72, 5); Pjanic 7, Misimovic 6 (Medunjanin 74, 5), Lulic 6; Dzeko 6. Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Vranjes, Susic, Sunjic, Ibricic, Hadzic, Salihovic, Avdukic. 
Kadi ya njano: Spahic.
Mfungaji wa Goli: Ibisevic 84.
Mwamuzi: Joel Aguilar (Slovakia).
Viwango vya wachezaji vimetolewa na MARTIN SAMUE kwenye uwanja wa Maracana  
Vedad Ibisevic akiifungia Bosnia bao la kwanza katika mashindano.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI