Monday, November 16, 2015

HATARI: NYANGUMI AKUTWA AMEKUFA UFUKWE WA COCO, WANANCHI WACHANGAMKIA KITOWEO NA MAFUTA

 Watanzania nadhani tuna matatizo sana, mtu mwenye akili timamu katika hali ya kawaida huwezi kuta mnyama amekufa ukakimbilia kumfanya kitoweo bila ruksa ya daktari wa mifugo au mamlaka husika.
Hata kwenye machinjio yetu lazima daktari athibitishe kuwa kitoweo ni salama kwa matumizi ya binadamu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI