Ni video ya pili kutoka kwa Vanessa Mdee, ambayo ilizinduliwa weekend iliyopita na pia watu waliohudhuria walipata nafasi ya kusikiliza wimbo mmoja mpya wa Vanessa Mdee unaoitwa Hawajui, Video hi imefanywa na Director Enos Olik na imetengenezwa nchini Kenya.
Bofya play kuitazama.
0 comments:
Post a Comment