Saturday, June 7, 2014

AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2014

Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata. 
Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo, Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara. 
 
Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake. 
 
Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Miss Tabata 2013 
 
Kumi Bora. 
 
 
Warembo wakitoa burudani 
 
 
Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani kwenye shindano la miss Tabata lililofanyika usiku wa kuamkia leo 
 
Mshereheshaji akizungumza jambo 
 
Warembo wakiwa wamevaa vazi la ufukweni 
 
 
Warembo wakitoa burudani 
 
 
Majaji wakifanalaizi mambo. 
 
Jaji wa Missi Tabata 2014, Le Mutuzzz akiwataja warmbo kumi bora na pia aliwataja tano bora 
 
Washindi wa Miss Ukonga nao walikuja kuonesha ya kwao 
 
Maswali yakiulizwa kwa Warembo 
 
Burudani ikiendelea 
 
Wadau waliokuwa kwenye miss Tabata 
 
Wakuu wa Kamati ya Miss Tanzania wakifuatilia kwa makini shindano la Miss Tabata. 
 
Miss Talent 2014 alichukua Faudhia Feka 
 
Miss Discipline alichukua, Nuru Omary 
 
Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake. 
 
Aliyekuwa Miss Tabata 2013, Doris Molel akimvisha Sasha mshindi wa Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy. 
 
Aliyekuwa Miss Tabata 2013, Doris Molel akimvisha taji mshindi wa Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy. 
 
Wadau waliofika kutizama Miss Tabata 2014
Picha na Pamoja blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI