Wednesday, May 21, 2014

WAJASIRIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA DAR

KUNDI la walemavu, wajasiriamali na wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa saa tatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam.


Picha na Mlimani TV
Picha na PHILEMON SOLOMON wa FULLSHANGWE

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI