P. Square ni miongoni mwa wasanii wachache kutoka Afrika ambao wamekua na bahati kubwa ya baadhi ya nyimbo zao zinapotoka kuhit kwa haraka,Taste the Money audio ilitoka February 11 na kuwa ni mojawapo ya hit iliyoshika kwa haraka,hii hapa video yao icheki imeongozwa na Jude Engees Okoye.
Friday, May 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WIMBO wa Watora mari ni moja kati ya collabo ambayo itabaki kuwa na heshima kwa Jah Prayzah katika maisha yake ya muziki. Wimbo huo al...
-
Let me start by stressing this,its a WHITE PARTY,people! Not Black,Not Blue and Not Red...WHITE Party! Here are some of the ideas you c...







0 comments:
Post a Comment