Sunday, May 25, 2014

PICHA 30 KATIKA TUKIO LA MSIBA WA MAREHEMU MAXIMILLIAN NGUBE ULIOPO NYUMBANI KWAKE (BOKO MSIKITINI)

Amin Mgheni wa Mlimani TV akiwa na wadau, wakibadilishana mawazo.


Khadija Mzee wa Mlimani TV naye akiwa na masikitiko ya kumpoteza kipenzi cha wengi.





Msosi sasa ukawafikia wadau mikononi... hapo sasa!!!
David, ambaye ni mtoto wa marehemu akipata msosi
Mdau akimenyuka
Baada ya msosi sasa... pozi mbalimbali nazo zilihusika






Ocheng Ogweno, Spencer Lameck na Robert Latonga wakiwa na majonzi makubwa ya kuondokewa na Max.
WanaMLIMANI wakiwa katika pozi la pamoja, wakimkumbuka papaa.
Matukio haya yametokea jana nyumbani (Boko Msikitini) kwa marehemu Maxmillian Ngube, ambaye alikuwa ni mpiga picha wa Mlimani TV,
Endelea kuwa nasi ULIMWENGU WA HABARI kwa updates nyingi zaidi...






0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI