
NAVY KENZO pamoja na muandaaji wao wa muziki Nahreel ambaye pia ni mmoja kati ya wanakundi wa kundi hilo maarufu la muziki nchini Tanzania wanaotamba na wimbo wao mzuri unaopendwa na wengi wa Chelewa (Bhokodo) wamechaguliwa kuwania baadhi ya nafasi katika tuzo za mwaka huu za KTMA (2014)
Katika hili huna budi kama mshabiki wa wanamuziki hawa machachari hapa bongo kuwapigia kura ili washinde katika tuzo hizo.

Kuwapigia kura Navy Kenzo, Tuma ujumbe ukiandika `BY2` kwenda 15440
Kumpigia kura Nahreel, Tuma ujumbe ukiandika `BK5` kwenda 15440
Pia waweza tuma kupitia barua pepe (email):
BY2, BK5 kwenda ktma2012@auditaxinternational.com
au ingia katika tovuti hii www.kilitime/co.tz/ktma
1. KIKUNDI CHA MWAKA KIZAZI KIPYA - NAVY KENZO
2. MTAYARISHAJI WA MWAKA KIZAKI KIPYA -NAHREEL
0 comments:
Post a Comment