Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mustapha Akunaay akichangia maoni yake leo mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Siti Abbas Ali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kulia) akisalimiana na wajumbe wa Bunge la Katiba Profesa Mark Mwandosya (kushoto) na John Shibuda(katikati) leo mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (katikati) akibadilishana mawazo na Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (TAMISEMI) Hawa Ghasia (kulia) na Katibu Mkuu wa salimiana na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania Habraham Jacob Shamumoyo (kushoto) mara baada ya semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Profesa Suleiman Ngware akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya.
Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) leo mjini Dodoma kabla ya semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika semina leo mjini Dodoma kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wenzake leo mjini Dodoma juu ya kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Moses Machali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto)na James Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ummy Mwalimu(kushoto), Mchungaji Peter Msigwa(wa pili kushoto) , Vincent Nyerere( wa pili kulia ) na Shamsa Mwangunga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
0 comments:
Post a Comment