Saturday, April 5, 2014

PANONE FC WAFANYIWA SHEREHE BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MKOA WA KILIMANJARO

Wachezaji wa timu ya Panone fc wakisalimia mara baada ya kutambulishwa wakati wa hafla ya kuwapongeza baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa.
Katibu wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Mohamed Musa akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Panone fc mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mwamuzi Hafidh Mshery akisalimia  wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa Panone fc.
Baadhi ya wageni waliofika katika hafla hiyo.
Kombe la ubingwa kwa timu ya Panone fc.
Baadhi ya wageni waalikwa wakigonga Cheers.
Vijana walikuwepo kutoa Burudani.
Ukafika wakati wa Msosi .
Meneja wa kampuni na mwakilishi wa Panone Gido Marandu akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Baadae ikawa burudani kwa wote.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, kanda ya kaskazini.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI