Tuesday, April 22, 2014

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: DAVID MOYES ATIMULIWA NA MANCHESTER UNITED


Kocha mkuu na meneja wa wa klabu ya Manchester United David Moyes ametimuliwa.
Meneja wa klabu ya Manchester United David Moyes amefutwa kazi baada ya kushikilia usukuni wa klabu hiyo kwa miezi kumi tu.
Klabu hiyo hapo awali ilikuwa imekataa kuzungumzia udaku wa magezti kuwa Moyes atafutwa kazi kabla ya msimu kumalizika.
Moyes, mwenye umri wa miaka 50, aliteuliwa na Ferguson kumrithi alipostaafu mwaka jana baada ya kuwa na klabu hiyo kwa miaka 26.

1560414_715196531877628_3796186308205047484_n
Chanzo: BBC

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI