Tuesday, April 22, 2014

ANGALI GARI JIPYA ALILONUNUA DAVIDO KWA ZAIDI YA TSH MILIONI 200

43
Akiwa ni moja kati ya wasanii kutoka nchini Nigeria ambaye amepata nomination 4 kwenye MTV Africa music awards 2014, na pia akiwa ni msanii mwenye mashabiki wengi barani Africa na nje pia, amekuwa ni msanii ambaye hatulii, kila siku anazunguka nchi tofauti kufanya show zinazowabamba wengi kote aendako.

Hayo yote na faida nyingine za muziki zinampa kila sababu Davido kununua vitu avipendavyo kama magari kutokana na mapato hayo anayoyapata.
Mwaka jana alinunua Mercedes Benz G-Wagon yenye thamani zaidi ya Tsh milioni 300 na hivi sasa amenunua gari ya kisasa ya mwaka 2014 Mercedes Benz S63AMG yenye thamani zaidi ya Tsh milioni 200.
Huu ni muonekano wa aina ya gari hilo na chini kabisa ni picha aliyo-post Davido ya gari halisi alilonunua.
2
1
3
4

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI