Monday, April 28, 2014

BENKI YA CRDB YASHIRIKI MAONESHO YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo katika banda la Benki ya CRDB wakati wa wakati wa maonesho kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu na kuandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (AIESEC), kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzia kujifunza na kujitambua uwezo wao binafsi na mchango wao katika jamii.
Ofisa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Petro Kashindye (kushoto), akifafanua jambo wakati wa maonesho kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu na kuandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (AIESEC), kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzia kujifunza na kujitambua uwezo wao binafsi na mchango wao katika jamii.
Baadhi ya wanafunzi wakipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Ninael Munuo waliotembelea banda la benki hiyo wakati wa kongamano la wanafunzi lililoandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (AIESEC), kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu kujifunza na kujitambua uwezo wao binafsi na mchango wao katika jamii. Kongamano hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Ofisa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB,Adam Geni (wa pili kushoto), akifafanua jambo kuhusu huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB wakati wa kongamano la wanafunzi lililoandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (AIESEC), kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu kujifunza na kujitambua uwezo wao binafsi na mchango wao katika jamii. Kongamano hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Casmir Fissoo.
Masoko wa Benki ya CRDB, Ninael Munuo (kushoto), akitoa maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na benki ya CRDB kwa wanafunzi wa wanafunzi wa vyuo vikuu waliotembelea banda la benki hiyo wakati wa kongamano la wanafunzi lililoandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (AIESEC), kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu kujifunza na kujitambua uwezo wao binafsi na mchango wao katika jamii. Kongamano hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI