Thursday, April 10, 2014

AFRIKA KUSINI YAZINDUA KAMPENI ZA SIKU YA KIMATAIFA YA MANDELA

Kampeni ya mwaka 2014 ya siku ya kimataifa ya Nelson Mandela imezinduliwa rasmi huko Johannesburg, kwa lengo la kuhimiza mabadiliko katika jamii. 
Siku hiyo inaadhimishwa kote duniani ili kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Mandela tarehe 18 Julai, ambayo ilitambuliwa rasmi kwenye baraza kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 2009.
Kwenye uzinduzi wa kampeni hiyo, makamu wa rais wa nchi hiyo Bw Motlanthe alisema siku ya Mandela ya mwaka huu ni maalum kwa kuwa inaadhimishwa kwa mara ya kwanza tangu Bw Mandela afariki dunia.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI