Friday, March 28, 2014

TASWIRA YA JIJI LA DAR ES SALAAM INYESHAPO MVUA

Mtaa wa gerezani gari limekufa katikati ya maji.
Kariakoo eneo la shule ya Uhuru kwenye round about.
Barabara ya Nyerere eneo la Goldstar halipitiki, msongamano wa magari uliosababishwa na maji mengi

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI