Friday, March 28, 2014

KATIBU MKUU WA MPLA AWASILI DAR ES SALAAM KUHUDHURIA MKUTANO WA VYAMA VYA KISOSHALISTI

Katibu Mkuu wa Chama kinachoongoza Angola MPLA comrade Julio Mateus Paulo amewasili Dar es Salaam jana kuhudhuria Mkutano wa vyama vya Kisoshalisti ulimwenguni unaoanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Katibu Mkuu wa Chama cha MPLA cha Angola Ccomrade Julio Mateus Paulo akipokelewa na Ndg. Phares Magesa Mjumbe wa NEC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili
Ndg. Magesa (MNEC) akiwa katika mazungumzo mafupi na Comrade Paulo katika ukumbi wa VIP uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI