Thursday, March 20, 2014

SALAMU ZA LULU KWA WAPENDA FILAMU

Picha hii ni kati ya picha nyingi zilizochukuliwa katika utengenezaji wa filamu mpya toka kwa mwadada huyo anatamba katika tasnia hii ya filamu.

Amesema watanzania wakae mkao wa kupokea filamu nzuri na bora, huku akiwa ameshirikiana na wasanii wa vichekesho na wasanii wengine lukuki kama vile Joti.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI