Sunday, March 23, 2014

ANGALIA PICHA ZA NDOA YA MWANAMUZIKI PAUL OKOYE WA 'P SQUARE'

NDOA hiyo imekuwa ni kati ya ndoa ambazo zimetangazwa sana na vyombo vingi vya habari na kuwa ni kati ya ndoa za kipekee kufungwa na wanamuziki nchini Nigeria ambapo ndoa hii pia ilifungwa kimila au wenyewe wanaita traditional wedding.

Paul Okoye amemuoa mpenzi wake Anita Isama na ndoa hiyo imefanyika Aztech Arcum katika eneo liitwalo Port-Harcourt
Ndoa hii ilihudhuliwa na watu maarufu wengi ambapo wengi ni wasanii akiwemo Naeto C, Julius Agwu, Uche Jumbo, Uti Nwachukwu, Ini Edo, Funke Akindele, Omotola Jalade-Ekeinde, M.I., Banky W, Darey Art-Alade, Phyno, Mike Ezeruonye, Vast & Smash wa Bracket na wengine wengi.
























Peter na mkewe nao walikuwepo kushow love

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI