Thursday, March 20, 2014

DAVID BECKAM ATAJWA KUWA NDIYE MVAAJI BORA WA BOXER WA KARNE

UKITAJA mavazi ya ndani ya kiume almaarufu kama boxer, basi hauna budi kuelewa kuwa mavazi hayo huandaliwa na makampuni na wabunifu mbalimbali wanaoyandaa.

Akiongea na vyombo vya habari, mbunifu maarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla, Tommy Hilfiger amemtaja David Beckham kuwa ndiye mwanaume mwenye mvuto pindi anapokuwa modo wa matangazo ya boxer mbalimbali.
Tommy Hilfiger
David Beckham ambaye ameonekana katika matangazo ya boxer kama vile Emperio Armani, H&M na Calvin Klein, ambapo kote ameonekana kuwa na muonekano mzuri.











0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI