Thursday, March 20, 2014

YOGA NA NAOMI CAMPBELL

MWANAMITINDO maarufu duniani Naomi Campbell ambaye umri wake umeonekana kwenda, huku akiwa na miaka 43 amewashangaza wengi kwa pale alipotoa pozi mbalimbali katika jarida maarufu la Shape ambapo ameonekana na umbo zuri la kuvutia licha ya kuwa na umri mkubwa.
 Katika marida hilo ameonekana akifanya mazoezi ya YOGA

Kama unapenda nawewe jifunze au nenda katika maeneo yanayotoa huduma hii. 

Angalia picha hizi.




0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI