Sunday, March 9, 2014

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AMJULIA HALI MWANAHABARI SALUM MKAMBALA

D92A3656-1D92A3630-1 (1)D92A3651-1Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic FM Bwana Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa ya muhimbili baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita

Picha na Freddy Maro

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI