Sunday, March 9, 2014

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AMJULIA HALI BI. MARGARETH CHAMBIRI - MUHIMBILI

D92A3690Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Ofisa wa Habari tume ya Uchaguzi Bi.Margareth Chambiri aliyelazwa katika Tasisi ya mifupa (MOI) iliyopo katika hospitali ya Taifa Muhimbili. 
Bi.Chambiri aliwahi kufanya Kazi katika Televisheni ya Taifa TBC. Picha na Freddy Maro

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI