Monday, March 10, 2014

JUA NI KALI NA UMEBANWA NA KIU YA MAJI...

ubungo_7e233.jpg
Pichani ni dereva wa gari kubwa ya kubeba mizigo akinunua maji kwa mfanya biashara wa bidhaa ndogo ndogo maarufu kama Machinga katika eneo la Ubungo, taswira halisi ya eneo hilo leo mchana ilikuwa ni jua kali, foleni kubwa na msongamano mkubwa wa watu.
Picha na Maelezo, Riziki Mashaka.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI