Friday, March 28, 2014

MATUKIO BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mjumbe wa Bunge Maalum Mwigulu Mchemba akichangia Bungeni mjini Dodoma Machi 27, 2014.
Mjube wa Bunge Maalaum Moses Machari akichangia Bungeni Machi 27, 2014.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Jusa akilalamika Bungeni Machi 27, 2014.PG4A4635
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Halima Mdee akilalamika Bungeni Mjini Dodoma Machi 27, 2014. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI