Jose Chameleone akiwa na spika wa bunge la Uganda Hon Kadaga Rebecca
Jose Chameleone amekabidhiwa rasmi jukumu la kutangaza utalii wa nchini Uganda, hususan vivutio zaidi ya 40 ambavyo vipo huko Busoga nchini humo.Muimbaji huyo wa ‘Tubonge’ amepewa jukumu hilo na Spika wa Bunge la nchini Uganda, Rebecca Kadaga.
Kupitia Facebook, Chameleone ameandika: It’s evidential that music is a global language and is also a tool that is relevant to today’s society unlike the past where Musicians were not respected in sects of development. Today’s morning was a a fruitful one as I was at the Parliament of Uganda in a board meeting with Hon. Speaker of Parliament of Uganda, Hon.REBECCA KADAGA, Hon. Edward Baliddawa and the various honourables as they nominated me to be the esteemed AMBASSADOR of BUSOGA TOURISM”
Pia mbali na ubalozi amekabidhiwa ubalozi wa shindano maalum la kutangaza utalii la Kupanda Mwamba wa Kagulu katika Mkoa wa Buyende kwa mwaka huu, ambapo watu mbalimbali watashiriki shindano hilo tarehe 9 na 10 May, 2014.
0 comments:
Post a Comment