Friday, October 26, 2012
EID MUBARAK JAMANI EH!!!
5:13 AM
No comments
ulimwenguwahabari.blogspot.com unawatakia waislamu wote Eid Mubarak popote pale walipo duniani.
Kupitia mtandao huu wa ULIMWENGU WA HABARI pia tunapenda kuwaasa ndugu zetu waislamu pamoja na wale wa kikristo kushikamana katika kuiendeleza amani ambayo hayati Mwl. J.K Nyerere baba wa taifa hili na mzee mwenzie Abeid Karume walituachia kama msingi wa umoja na Usawa kwa wote.
Pia viongozi hao walisisitiza kuwa watanzania wote ni ndugu, hivyo kwa wale waliokuwa na uwezo ni vyema basi wakashiriki chakula cha pamoja na wale ambao katika siku hii ya leo hawajajaaliwa kwani kwa kufanya hivyo atapata baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu!!!
EID-MUBARAK!!
ULIMWENGU WA HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WENGI wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Ki...
-
KATIKA pita pita mtandaoni tumekutana na picha hizi za JB a.k.a Bonge la bwana akiwa ameziweka katika akaunti yake ya Instagram na ku...
-
NI furaha kwa kila mtu pindi mchango wake unapoonekana na kupewa zawadi – ndicho kilichomtokea Riyad Mahrez usiku wa Alhamisi hii baada ...
-
HUENDA ukakutana barabarani na Hanifa Daud ‘Jennifer’ pamoja na Othman Njaidi ‘Patrick’ ambayo ni zao la marehemu Steven Kanumba na usiw...
-
KUPIGA punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye ta...
0 comments:
Post a Comment