Mwanariadha wa mbio fupi kutoka Jamaica Usain Bolt atashiriki mazoezi na klabu ya Ujerumani ya Borussia Dortmund imesema kuwa mwanariadha huyo atafanya mazoezi na klabu hiyo kwa siku chache tu.
Bolt ambaye amekuwa akisema kwamba angependa sana kucheza soka baada ya kustaafu katika riadha.
Maafisa wa klabu hiyo wamesema kuwa hakuna hakikisho kwamba mwanariadha huyo ataichezea klabu hiyo katika siku za usoni.
0 comments:
Post a Comment