Friday, November 11, 2016

NUH MZIWANDA AFUNGA NDOA NA MREMBO HUYU

MKALI wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameingia kwenye list ya mastaa wa bongofleva waliofunga ndoa mwaka 2016 baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Nawal.
Muimbaji huyo ambaye zamani alikuwa anatoka kimapenzi na Shilole amefunga ndoa kimya kimya huku akijiandaa kwa ajili ya kufanya sherehe kubwa.
Mke wa Nuh, Nawal akiwa amepodoka

Mastaa wengine waliofunga ndoa hivi karibuni ni pamoja na Nyandu Tozzy, Tunda Man, Mabeste pamoja na wengine wengi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI