Friday, November 11, 2016

CHEKI MAUJANJA YA KUTUMIA CAMERA MBILI KWENYE TECNO PHANTOM 6 *VIDEO*

KAMA ulikuwa hujasikia, Phantom 6 inakuja na kamera mbili za ukweli na wengi bado hawajafahamu jinsi ya kuzitumia.
Fuatilia video hii kujua jinsi ya kutumia na kama una Phantom 6 unaweza kujaribu kisha weka mtandaoni ukitumia hashtag #UnleashThePhantom na kama hujanunua Phantom 6 tembelea maduka ya Tecno. Usikubali kupitwa.
Unaweza kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kufahamu zaidi kuhusiana na Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI