Friday, November 11, 2016

TRUMP NA OBAMA WAFANYA MAZUNGUMZO WHITE HOUSE *PICHAZ*

 Rais mteule wa Marekani Donald Trump alikutana na Rais Barack Obama kwa mara ya kwanza ikulu ya White House tangu ashinde uchaguzi, uadui kati yao ulijidhihirisha.
 Wawili hao kila mmoja alikuwa anamsema wenzake vibaya. Rais Obama alisema Mwanarepublican huyo hana sifa na uwezo wa kuwa kiongozi wa Marekani.
 Baada ya kukutana wawili hao walishauriana kwa zaidi ya saa moja.
Waliongea maneno mazuri kuhusu umoja na umuhimu wa kupokezana madaraka kwa amani.
Obama na Trump wakiwa na nyuso za furaha
Melania Trump na Michelle Obama wakiwa ikulu ya White House.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI