MSANII wa RNB Queen Mary J. Blige ametoa video mpya ya wimbo wake “Thick of It,” kutoka kwenye album yake ya Strength of a Woman.
Album ya Strength of a Woman, ni muendelezo wa album yake ya mwaka 2014 The London Sessions, ikiwa na wasanii kama Hit-Boy, Jazmine Sullivan, na Kanye West kwenye wimbo wa “Love Yourself”.
0 comments:
Post a Comment