Thursday, November 10, 2016

MAVUGO NA TAMBWE WATEMWA TIMU YA TAIFA YA BURUNDI

Kocha wa timu ya taifa ya Burundi, Alain Olivier Niyungeko amewatema baadhi ya wachezaji wakongwe kwenye kikosi hicho kinachojiandaa kwa ajili ya michuano ya CECAFA.
Wachezaji walioachwa kwenye kikosi hicho ni pamoja na Amisi Tambe wa Yanga, Laudit Mavugo kutoka Simba na beki wa timu ya Gor Mahia, Karim Nizigiyamana na badala yake amewateuwa wachezaji chipukizi kutoka kwenye kikosi cha vijana walio chini ya umri wa miaka 20 na wale wanaocheza ligi nchi hiyo.
Kikosi kipya alichokitangaza kocha Niyungeko ni pamoja na magolikipa:Nahimana Jonathan (Vital’O), Nininahazwe Bievenue (Messenger Ngozi), Mutombo Fabien (Lydia Ludic), Rugumandiye Yvan (Musongati), Ndikuriyo Patient (Aigles Noirs).
Mabeki: Ndoriyobija Eric (Lydia Ludic), Suleyman Mustafa (Aigles Noirs), Moussa Omar, Ndizeye Samuel (Athletico Olympic), Nshimirimana David (Vital’O), Nahimana Steve (Aigles Noirs), Kashindi Joseph (Inter Star), Guy Chancel, Harerimana Rashid Leon (Lydia Ludic), Nyandwi Innocent (Magara).
Viungo: Urasenga Cedric Danny (Messenger Ngozi), Rukundo Terence (Aigles Noirs), Ntirwaza Sudi (Musongati FC), Ndikumana Moussa (Athletico Olympic), Nsabumukama Enock (Messenger Ngozi), Ndayishimiye Yousouf (Aigles Noirs), Mbirizi Eric (Bujumbura City), Uwimana Messo (Lydia Ludic), Idi Saidi Djuma, Andre Tokoto (Lydia Ludic), Duhayindavyi Gael (Vital’O).
Washambuliaji: Lomeya Magloire (Olympic Star), Bimenyimana Caleb (Vital’O), Hakizimana Alexis Kitenge (Athletico Olympic), Ndarusanze Jean Claude (Lydia Ludic), Bigirimana Hassan (Aigles Noirs)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI