Thursday, November 10, 2016

MAJINA YA VIPENGELE VINGINE VIWILI YA EATV AWARDS YATAJWA, NAO NI…

Majina mengine ya wasanii kutoka kwenye vipengele viwili kati ya 10 watakaowania tuzo za EATV Awards zinazotarajiwa kufanyika Disemba 10 ya mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City yametangazwa Alhamisi hii.
Vipengele hivyo viwili vilivyotajwa ni pamoja na video bora ya muziki na kundi bora la muziki.
Video bora ya muziki
Njongereza – Navio
Don’t Bother – Joh Makini
Namjua – Shetta
Aje – Alikiba
Lady Jaydee – Ndi Ndi Ndi
Kundi bora la muziki

Wakali Wao – Chozi Langu Utalilipa
Navy Kenzo – Kamatia
Mashauzi Classic – Hakisleti
Team Mistari (Calvo Mistari & Bobby Mapesa) – Tuzidi
Sauti Sol – Unconditional Bae

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI