Tuesday, April 22, 2014

WAPIGIE KURA NAVY KENZO, NOMINEES KTMA 2014


NAVY KENZO pamoja na muandaaji wao wa muziki Nahreel ambaye pia ni mmoja kati ya wanakundi wa kundi hilo maarufu la muziki nchini Tanzania wanaotamba na wimbo wao mzuri unaopendwa na wengi wa Chelewa (Bhokodo) wamechaguliwa kuwania baadhi ya nafasi katika tuzo za mwaka huu za KTMA (2014)
Katika hili huna budi kama mshabiki wa wanamuziki hawa machachari hapa bongo kuwapigia kura ili washinde katika tuzo hizo.
FUATILIA MAELEZO HAYA:
Kuwapigia kura Navy Kenzo, Tuma ujumbe ukiandika `BY2`  kwenda 15440

Kumpigia kura Nahreel, Tuma ujumbe ukiandika `BK5` kwenda 15440

Pia waweza tuma kupitia barua pepe (email): 

au ingia katika tovuti hii www.kilitime/co.tz/ktma

1. KIKUNDI CHA MWAKA KIZAZI KIPYA - NAVY KENZO
2. MTAYARISHAJI WA MWAKA KIZAKI KIPYA -NAHREEL
Nahreel

Aika

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI