Friday, November 11, 2016

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA Y-TONY – WIVU WANGU

Y-Tony chini ya kampuni yake, Fresh Code Entertainment King, ameachia video ya wimbo wake’Wivu Wangu’ iliyoongozwa na Pablo. Ngoma ilitayarishwa na Sheddy Clever kupitia Burn Records.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI