Sunday, November 6, 2016

ANGALIA BRAND NEW VIDEO YA OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA – KAJIANDAE

MSANII Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa ameshirikiana na Alikiba. 
Video ya wimbo huo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika tamasha la Fiesta lililofanyika Jumamosi hii. 
Video imeandaliwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI