Tuesday, November 15, 2016

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA CHINBEES – ZUZUA

Msanii wa bongo fleva Chinbees ametoa video yake mpya ya wimbo unaitwa “Zuzu”, uliotayarishwa na Producer Lufa kutoka studio za Switch Records, Video imetayarishwa na Director GQ.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI