Monday, September 7, 2015

TYGA AMVALISHA PETE MDOGO WAKE KIM KARDASHIAN ”KYLIE JENNER’ *PICHAZ*

Mdogo wa Kim Kardashian ‘Kylie Jenner’  amevalishwa pete ya uchumba na rapa Tyga ambaye ni mpenzi wake kwa zaidi ya miezi mitatu.
Kylie Jenner ’18’ amekuwa kwenye mahusiano na Tyga ’25’ kwa siri mpaka alipofikisha miaka 18 na kuweka mambo yao wazi zaidi.
Kylie alitumia instagram kuonyesha pete yake aliyovalishwa na Tyga.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI