Monday, September 7, 2015

FLAVIANA MATATA ATEULIWA KUWA BALOZI WA UTALII NEW YORK CITY NCHINI MAREKANI *PICHAZ*

 Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meruakizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kumtambulisha Flaviana Matata kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani. Kutoka kulia ni FlavianaoMatata na kushoto Kaimu Mkurugenzi mwendeshaji Bodi ya Utalii TTB Devota Mdachi.
Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akimkabidhi cheti cha kumtambua kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani Flaviana Matata katikati ni Kaimu Mkurugenzi mwendeshaji Bodi ya Utalii TTB Devota Mdachi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI