Nyumba ya muigizaji wa kike, Batuli imeungua na moto siku ya jana, bado haijajulikana chanzo lakini hakuna aliyeumia lakini nyumba imeungua na vitu vyote vilivyokuemo kwenye nyumba hiyo japo bado haijajulikana thamani yake.
Wema sepetu alituma mtandao wa Instagram kumpa pole rafiki yake
0 comments:
Post a Comment