Monday, August 24, 2015

WAFUNGA NDOA NDANI YA JENEZA *PICHAZ*

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa  ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.


Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI