Monday, June 16, 2014

UREMBO WA NAGRIS MOHAMED NI WA KIAFRIKA ZAIDI…. ULA LAAAH!! **PICHAZ**

MISS Tanzania namba tatu mwaka 2003/04, Nargis Mohamed, kwa sasa ni mfanyakazi katika BANK flani na ni mama wa mtoto mmoja….
Kama unakumbuka enzi za Video ya ZALI LA MENTALI aliyesumbua sana vichwa vya mapedeshee mjini….
Kwa kifupi ilikuwa ni shidaaah ambapo ilikuwa ni kabla ya kuigia kwenye BONGO MUVI….
Wengi wamekuwa wakijiuliza kuna siri gani ya uzuri na urembo wa mwanadada huyu, kwani toka kitambo hicho hadi sasa bado yupo supa tu….
wakati wengine wakihangaika na vipoozi vinavyowatoa katika uAfrika na kufanana fanana na hawa jamaa zetu waliotutawala enzi hizooo, namaanisha wazungu a.k.a Wakoloni ambao naona kwa sasa wanatutawala kifikra na wanazidi kuendelea tuu bila wachache wetu kugutuka!!!
***Ni mtazamo binafsi tu… 
Hakuna chuki!!!***
Heey amkeni kinadada bhana, na kama huamini kuwa waweza kuwa msupuu na kuwika vile ulivyo bila kujichubua jionee picha kibao hapa chini za mwanadada huyu uamini










Safi Nargis endelea kujali U-Afrika wako na kuwa balozi na mfano kwa wengi.

UNGANA NASI KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI